letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nani? - abigail chams

Loading...

nampenda mmoja sitaki mwingine

msiniwaze

namtaka mmoja simuhitaji mwingine

msiniwaze

aaaah

aaah nalia nalia naliaga

akininunia napagawaga

nalia nalia naliaga

akinisisua nachachawaga

hivi huku ndo wanaitaga kupendaga

siwezi kula bila huyu kijana

hivi haya haya ndo mapenzi

siwezi kulala bila haka kadada
nampenda nampenda msichana mmoja

mweupe kidogo

mweusi kidogo

nampenda nampenda (nani)

mweupe kidogo ( nani)

mweusi kidogo (nani)

hivi huku ndo wanaitaga kupendaga

siwezi kula bila huyu kijana

hivi haya haya ndo mapenzi

siwezi kulala bila haka kadada

ananikosha roho

ananirusha roho

ananikuna kuna
ananirusha roho

anavyopita ananukia kama malaika

huyo huyo shemu wenu

anavutia kama malaika

huyo huyo shemu wenu

hivi huku ndo wanaitaga kupendaga

siwezi kula bila huyu kijana

hivi haya haya ndo mapenzi

siwezi kulala bila huyu kijana

nampenda nampenda msichana mmoja

mweupe kidogo

mweusi kidogo

nampenda nampenda (nani)
mweupe kidogo ( nani)

mweusi kidogo (nani)

hivi huku ndo wanaitaga kupendaga

siwezi kula bila huyu kijana

hivi haya haya ndo mapenzi

siwezi kulala bila huyu kijana

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...