letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de milele - abigail chams

Loading...

[intro]
milele
milele
milele

[verse 1]
from the first day tulipo kutana-tana
moyo ukadunda macho yalipogongana
hapo, hapo tukapeana namba
tukapeana namba (namba)
ukweli ulinivutia-ia
sijajua zako tabia ooh
na moyo ndo umeridhia-ia
ila nina imani unaupendo

[chorus]
ishi nami, baki nami
daima forever wewe nami
mitihani changamoto tuzishinde milele
ishi nami, baki nami
daima forever wewe nami
mitihani changamoto tuzishinde milele

[post-chorus]
penzi letu liwe la (milele)
ooh nakupenda (milele)
penzi letu liwe la (milele)
ooh nakupenda (milele)
[verse 2]
kwa pеnzi lako na enjoy
unavyonipa na enjoy ooh
when you touch my body ooh
naomba usiachе
napendwa sana ninavyojisikia moyoni
nami nampenda my baby ooh

[bridge]
baby boy your love is k!ller, k!ller yeah
forever you’re my pillar, pillar cause
uh you’re the only one for me yeah
you’re the only one i need eeh
and i, i can’t deny you give me b-tterflies
my mr. right, ooh yeah

[chorus]
ishi nami, baki nami
daima forever wewe nami
mitihani changamoto tuzishinde milele
ishi nami, baki nami
daima forever wewe nami
mitihani changamoto tuzishinde milele ooh

[post-chorus]
penzi letu liwe la (milele)
ooh nakupenda (milele)
penzi letu liwe la (milele)
ooh nakupenda (milele)
[outro]
tuzishinde milelele
tuzishinde milele
milele-le-le-le-leee-le ooh
ooh
oh milele, oh yeah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...