
letra de bata - abigail chams
[verse 1]
haya maisha joo hakuna part 2
na ndio maana
kila siku kw-ngu kama siku kuu
napambana
[pre-chorus]
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
ooh kwani
[chorus]
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
[verse 2]
money don’t lie, gonga cheers tufurahi
nishajipata now niacheni nijidai
mmh, mmh, uh no-no
everyday be day to party, (uh-huh)
living life like it’s a movie (uh-huh)
out all night and in the morning
we hungover, we hungover (uh-huh)
9 to 5 i work i no sleep (uh-huh)
steady grind all days of the week (uh-huh)
i get the green to light up the green
so come over, come over
[pre-chorus]
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
natafuta dooh
nijikoshe roho
nijipoze koo
if you know you know
ooh kwani
[chorus]
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
tunaishi mara moja acha kujibana
liwalo liwe, naenjoy bwana
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
pombe nakunywa, bata nakula
kote navuma na ninamuogopa mungu
letras aleatórias
- letra de bunker - kanchi x robinson
- letra de robbery part two - tee grizzley
- letra de m block (untitled) - d savage
- letra de ne volim te - aleksandra radović
- letra de something better - jsteph
- letra de strike team thunder killer alpha hard target - convalescent
- letra de henny - yoda ufo
- letra de dysphoria - dltzk
- letra de mamãe - yasmin verissimo
- letra de popping hot balloons - macula dog