letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kimbilio langu - abeddy ngosso

Loading...

kimbilio langu, ni wewe pekee yako.
hili ni ombi langu, mchana na usiku.
naja mbele zako, yesu nik-mbuke.

nipe furaha moyoni, niseme umetenda.

naja mbele zako baba, nik-mbuke hivi nilivyo
fanya jambo, ndani yangu, lisilowezekana.

kimbilio langu, ni wewe pekee yako.
hili ni ombi langu, mchana na usiku.
naja mbele zako, yesu nik-mbuke.
nipe furaha moyoni, niseme umetenda.

kikombe hiki, kizito ooh, kinaumiza
hata kama baba, ni kesho ooh wewe haudanganyi

nimepitia, mengi sanaa, yamekua mazito mno
lakini leo naja kwako ooh, uyaondoe haya yote.
roho yangu imechokaa, haiwezi kuendeleaa
nachoomba kutoka kwako ooh, uyafute machozi yangu

kimbilio langu, ni wewe pekee yako.
hili ni ombi langu, mchana na usiku.
naja mbele zako, yesu nik-mbuke.
nipe furaha moyoni, niseme umetenda.

niseme umetenda
niseme umetenda
niseme umetenda
niseme umetenda

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...