letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de utapendaje wawili - abdul misambano

Loading...

#chorus
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mm sijuiii

#verse
usinifiche unipe ukweli
niujue undani wakoo
naona unanitapelii
kwa hivyo vitendo vyako
usinifiche unipe ukweli
niujue undani wakoo
naona unanitapelii
kwa hivyo vitendo vyako

#pre-chorus
utapendaje mwenzangu  wawili
mpendee mmoja wapoo
utapendaje mwenzangu wawili
mpendee mmoja wapoo

#chorus
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mm sijuiii
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mimi sijuiii
#verse
mpira huchezwa na wengiii
na mshindi huwa ni mmoja
na sisi mbona tuko wengiii
ni yupi unae hajaaa
mpira huchеzwa na wengiii
na mshindi huwa ni mmoja
na sisi mbona tuko wengiii
ni yupi unae hajaaa

#pre-chorus
nisitambе mimi kama kingii
k-mbe wewe umenishusha daraja
nisitambe mimi kama kingii
k-mbe wewe umenishusha daraja

#chorus
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua unamoyo mmojaa
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua unamoyo mmojaa
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mm sijuiii
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mimi sijuiii
#verse
ni yupi alie kunogeaa
nielezee bila ya hofu
shirikaa mimi sikuzoeaa
siwezi mi nakuharifu
ni yupi alie kunogeaa
nielezee bila ya hofu
shirikaa mimi sikuzoeaa
siwezi mi nakuharifu

pre-chorus
aah
mmoja wapo mwenzangu chaguaa
mimi omy au yule sefu
mmoja wapo mwenzangu chaguaa
mimi omy au yule sefu

#hook
lalalilaaa

#chorus
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mimi sijuiii
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mimi sijuiii
#verse
namalizia w-ngu usemi
mwisho wa yangu kaulii
kama wewe wanipenda mimi
yule mwache mwachilie mbali
namalizia w-ngu usemi
mwisho wa yangu kaulii
kama kweli wanipenda mimi
yule mwache mwachilie mbali

#pre-chorus
ahh mimi na ogopa ngumii
ugomvi sitokubali
omary mimi naogopa ngumii
ugomvi sitokubali

#chorus
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
itakuwaje kutupenda wawilii
nawe wajua una moyo mmojaa
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mm sijuiii
najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mm sijuiii

#outro
aaah najua utadanganya mmojaa
kama yeye au mm sijuiii
najua utapenda mmojaa
kama yeye au mm sijuiii

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...