
letra de you - abdukiba
[intro]
ahaaahah
haaaaah
[verse 1 : abdukiba]
moyo w-ngu unadunda na bandama
najihisi furaha nikikutazama
na hiyo rangi ya fedha
vyenye unapendeza
na ipite usiku ama mchana aah
nawaza tu tukikutana
vyenye unanibeba
huku unanikoleza
[bridge : abdukiba]
niko na amani niko niko moyoni sherehe
niko na amani tangu niwe nae moyoni sherehe
niko na amani niko niko moyoni sherehe
niko na amani tangu niwe nae moyoni sherehe
[chorus : abdukiba & yammi]
youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
i’m love with u “yes i do”
youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
i’m love with u “yes i do”
[verse 2 : yammi]
litapita pepo la hasira, kununa na kuzila
juwa wewe your “my only one”
na kuna furaha na madhira
ewe baby usinione tofauti sitabadilika
mimi ni wako kwako, nimefika fika rabeikha nimeitika
la la la aah nifanye wako wa halali
nami nimekwita kwita maana nimefika fika nararaa
nakufanya w-ngu wa halalii eeeh
[bridge : abdukiba]
niko na amani niko niko moyoni sherehe
niko na amani tangu niwe naye moyoni sherehe
niko na amani niko niko moyoni sherehe
niko na amani tangu niwe nae moyoni sherehe
[chorus : abdukiba & yammi]
youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
i’m love with u “yes i do”
youuuuu you you youuuuuuu you youuuu
i’m love with u “yes i do”
[outro : yammi]
mmmh mmh mmmh mmh yes i do
the mix k!ller
letras aleatórias
- letra de batalha do amor - chrystian & ralf
- letra de coisas simples - fábio jr.
- letra de minha história - joão do vale
- letra de não murmures: canta - harpa cristã
- letra de fica jesus - j. neto
- letra de forma de entender - tropa de elite
- letra de o pai bondoso - harpa cristã
- letra de sem parar - xuxa
- letra de o peão e o ricaço - jacó e jacozinho
- letra de prás sogras que encontrei na vida - herman josé