letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de si basi tu - abdallah issa

Loading...

wimbo….. si basi tu

mwimbaji…… abdallah issa

hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
aaaaah
hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
laghai laghai nambari wani
watu wote watu wote wamjua
jamaa rogi rogi rogi namba wani
watu wote watu wote wamjua
wasomi visomo vyenye thamani
na uzuri na uzuri uso doa
wamemwacha wamemwacha mataani
fungu fungu fungu la kurehemewa
wasomi visomo vyenye thamani
na uzuri na uzuri uso doa
wamemwacha wamemwacha mataani
fungu fungu fungu la kurehemewa

yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu

hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa
si basi tu si basi tu si basi tu

kama wеwe kama wewe upеndwe nini
hasa hasa hasa kwa uzuri gani
kama wewe kama wewe upendwe nini
hasa hasa hasa kwa uzuri gani
si wa umbo si wa nywele si wa uyuni
mbele ziro nyuma hakujulikani
baraka ya wanja kujipakaza machoni
na uturi vuja wa faradhi ruhameni
kwenye visura wewe humo hesabuni
si wa umbo si wa nywele si wa uyuni
mbele ziro nyuma hakujulikani
baraka ya wanja kujipakaza machoni
na uturi vuja wa faradhi ruhameni
kwenye visura wewe humo hesabuni
ama kweli liakhiri zamani
si basi tu hii akhiri zamani
si basi tu hii akhiri zamani
si basi tu hii akhiri zamani

yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu

hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa
si basi tu si basi tu si basi tu

tumeshawaona walo wazuri wa kweli
kila kitu chao wao naturally
tumeshawaona walo wazuri wa kweli
kila kitu chao wao naturally
zunguka bongo uwaone kila mahali
figa zao za kupigiwa mithali
sio zumbukuku na shape ya penseli
tingisha bodi huwezi kustahmili
pochi wazi kuwa achia halali
zunguka bongo uwaone kila mahali
figa zao za kupigiwa mithali
sio zumbukuku na shape ya penseli
tingisha bodi huwezi kustahmili
pochi wazi kuwa achia halali
huyo ulo nae anajistiri hali
sibasi_tu hii akhiri zamani
sibasi_tu hii akhiri zamani
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu

hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa
si basi tu si basi tu si basi tu

nimekusudia leo roho nikurushe
kama unayo presha nikupandishe
nimekusudia leo roho nikurushe
kama unayo presha nikupandishe
huna moja bure usijirembeshe
kula dongo mimi usinisemeshe
kaa kando sitaki zako kash-sh-
sijiletelete kw-ngu usijitakishe
wala huna ngoma leo acha nikupashe
huna moja bure usijirembeshe
kula dongo mimi usinisemeshe
kaa kando sitaki zako kash-sh-
sijiletelete kw-ngu usijitakishe
wala huna ngoma leo acha nikupashe
kiasi fulani nje akuvurumishe
sibasi_tu hii akhiri zamani
sibasi_tu hii akhiri zamani

yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu
yeyeye eeh yeyeye eeee
si basi tu si basi tu sibasi tu

hivo unadhani kwa yakini watakiwa
hujui fulani kwamba anakuzuzua
kwa uzuri gani hasa wa kujishauwa
si basi tu si basi tu si basi tu
si basi tu si basi tu si basi tu
si basi tu si basi tu si basi tu

sibasi_tu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...