
letra de nipeni nafasi nimsifu mpenzi wangu - abdallah issa
waa waa waaah
nasifu uzuri, wake uliyotimia
tena kwa fakhari, yeye ninajivunia
nasifu uzuri, wake uliyotimia
tena kwa fakhari, yeye ninajivunia
ni kichinchiri, umbile na sura pia
na rangi nzuri, ahsmari yavutia
mengine ni siri mengine ni siri
mengine ni siri mengine ni siri
mtoto mengine ni siri
sisemi mkasikia
mengine ni siri mtoto
mengine ni siri mengine ni siri
sisemi mtazimia, mtoto
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
waa waa waaah
waa waa waaah
nasifu na mwendo, atembeapo azizi
sio wa vishindo, viatu havikwaruzi
nasifu na mwendo, atembeapo azizi
sio wa vishindo, viatu havikwaruzi
enda kizalendo, viungo hakazanishi
pole pole mwendo, wa haraka hauwezi
enda kizalendo, viungo hakazanishi
polе pole mwendo, wa haraka hauwezi
kama aso fundo kama aso fundo
kama aso fundo mtoto kama aso fundo
kama aso fundo maringo yakе na pozi
kama aso fundo mtoto kama aso fundo
kama aso fundo maringo yake na pozi
mtoto
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
s-m-ni
waa waa waaah
waa waa waaah
nasifu na mwili, vyema ulivyoumbikaa
mezidi jamali, aliyempa rabuka
nasifu na mwili, vyema ulivyoumbikaa
mezidi jamali, aliyempa rabuka
sio barmili, si unene wenye mashaka
sijiwezi kweli, kwako ninnaghafilika
sio barmili, si unene wenye mashaka
sijiwezi kweli, kwako ninnaghafilika
potelea mbali potelea mbali
potelea mbali potelea mbali mtoto
potelea mbali watasema watachoka
potelea mbali mtoto potelea mbali
potelea mbali potelea mbali
watasema watachoka mtoto
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
s-m-ni
waa waa waaah
waa waa waaah
nasifu na udi anao jif-kizia
sio kila iddi daima amezoea
nasifu na udi anao jif-kizia
sio kila iddi daima amezoea
hadi nafaidi uzuri ulonukia
ni udi wa jadi si ule wa kudandia
udi wa mawardi ni udi wa mawardi
udi wa mawardi udi wa mawardi
ndio anaotumia udi wa mawardi
udi wa mawardi udi wa mawardi
ndio anaotumia mtoto
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
nipeni nafasi, nimsifu mpenzi w-ngu
kwa sifa halisi, kapewa na mola w-ngu
s-m-ni
waa waa waaah
letras aleatórias
- letra de navy blue - minia
- letra de entrance - sickboyrari
- letra de just a fool - haley woolbright
- letra de hey boy - over the moon
- letra de dinheiro cor de rosa - daniel monção
- letra de better days - illbk
- letra de licht en donker (met willem ardui) - remix - froukje
- letra de metro swipe - daytona starsky
- letra de new year - matt hall
- letra de genesis - guru jojo