letra de a milli (remix) - abbas kubaff
[intro]
bado nina like a million rhymes
[verse]
one million idp’s over here
huku wana-spend a billion for nothing over there
wananchi w-n-lia kupoteza familia
huku hawa ma-millionnaire wakizidi kuwaonea
tumechoka vumilia hii maneno watuambia
tuanze na delamere
oya, ni vipi wazeiya?
nchi yetu tuna njaa na tunakuza mimea
ni nini inaendelea? nyinyi mnatuchezea (yeah)
a million bags za mahindi zilipotea
w-lly akawekelea wakulima na mbolea
aliuzia wahindi akidhani hatu-mind
sisi tukafunga macho tukawachia almighty
triton ni company inaingiza ma-milioni
wakidanganya wananchi hakuna ngataa imebaki
ikipandishwa bei, soko lita itauzwa ngapi?
one million animals aberdare
kila siku wanawindwa na ma-poachers over there
ndovu ngapi zimebaki hata ukifikiria
pembe moja uvuke border wanaiuza ngiri mia
mara moja, mara ya pili, ushakuwa millionnaire
usidhani ni miujiza, hata uliza pastor deya
sonko fulani ana million acres
angegawia idp’s juu naskia ni legislator
hapa kenya kuna shifta na pia kuna ma-settler
nairobi kuna wajanja, pia kuna ma-hustler
ten billion ziko copyright society
hatujalipwa ni kazi si hufanya kazi ya charity
wapi hizo mita sita saba zangu za royalties
wacheni hizo politics, hiyo si equality
mnafaa kuanza kuskiza muziki iko na quality
quant-ty si policy, chunga hawa polisi
ju wanaweza kupiga ridhe hata ka uko innocent
wabunge wanataka mshahara ya ma-million
waanzishe biashara pahali penye pavillion
ndio walipe taxi, mi nilipe taxes
hata uliza mwananchi, hiyo ni nonesense
ana benz ina rims na rangi expensive
ma-holiday za hawaii bila expenses
huku nchi haina kitu, jamani hai-make sense
watu innocent wanapewa sentence
[?] hizo mlango jo si w-ngefungulia
wale watu w-ngehepa lakini si waliumia
hii ni maneno sheria inafaa kuangalia
na kuhakikisha kuwa tena haitatokea
ju walioathiriwa na wale waliofiwa
hata uwape ma-millioni, hiyo haitosaidia
hata uwape millioni, hiyo haitawasaidia
(kama unaskia…)
letras aleatórias
- letra de good ol' dogs and god - pryor & lee
- letra de i don't want u anymore - kon.0_0
- letra de kirari (pxzvc remix) - 藤井風 (fujii kaze)
- letra de chips n' dip - novul
- letra de back streets - the equals
- letra de trauma - high jackedd
- letra de torres de sabana* - anuel aa
- letra de tengen uzui - gameboyjones
- letra de partynextdoor - pypo lamah
- letra de hurricane - asher monroe