letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de letter to the streets - 4t dayz

Loading...

verse 1

kaa radar ya mamorio unalink up nao na machargie

siko idhaa ya kuongeza mabeshte akili yangu iko kwa ganji

show me the money si kila idhaa kunikatisha maji

me no trust friend alkua beshte yako jana leo amegeuka mtiaji

kwa hizi streets me ndio king kenye imebaki ni kuvalishwa taji
lyrics zaidi ya millioni rap game kw-ngu ni kipaji

na si dumba

kwa dancehall utanipata nikisakata rhumba

kwa waist nimejipin kitu refu kushinda train ya boomba

jicho nyanya 24/7 macho zangu ni sign ya danger

dem ah no badman fi we kwa streets hao ni ma stranger

ni ra times lakini bado na praise jah – 2

ra times lakini bado na praise jah -2

chorus x 2

barua mtaani, hii ndio letter to the streets

barua mtaani, hii ndio letter to the streets

barua mtaani, hii ndio letter to the streets

letter to the streets, hii ndio letter to the streets
letter to the streets, hii ndio letter to the streets

verse 2

guard up always

kabla u violate unapataa its too late

mtaani unahepa keja yako inabaki vacant to-let

hatutishiki ata ukuje na jeshi yako na vifaru

war inanuka kushinda ya biggie na tupac amaru

1960 kuthrive ni either ukue badman ama mbaru

nairobbery , ni ngumu k-make money na hii robbery

dutty badmind fi gweh uezi enda mahali na hii roho bree

clean as a whistle lyrics zangu daily zinawashoot kaa pistol

new testament hii ni letter to the streets na si epistle

chorus x 2
barua mtaani, hii ndio letter to the streets

barua mtaani, hii ndio letter to the streets

barua mtaani, hii ndio letter to the streets

letter to the streets, hii ndio letter to the streets

letter to the streets, hii ndio letter to the streets

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...