letra de 2.e - 2e
intro
yeah, yeah
uh, yeah
uhm
verse 1
eldy ndio mtaa,hii nairobi maisha cactus
heri niuze bangi ndio angalau ninunue pampers, bankrupt, na me ndio provider the man, plus
we ndio dunia yangu ningejua ningekuita atlas
one love, kwa mandovu ziko kwa tusker mwenye aliuma rabbi ndio mwenye pia aliumba pastor
wakingoja tu, tu tu tu tudunde ghafla
tunasonga mbele,tukikuja jo kwa azma, lazma,wanaonyanyaswa nao wazue rabsha,time sasa ndio sasa,tutakula kenye tutapata
how nice?venye t alipata twins twice, fatherhood na motherhood ndio ilifanya wakathink twice, inside ni mavicises na making size, ulevi ya power, na mayveo ndio mapint size
naeza kua the best na ni ka ndio
naeza kua the best na ni karma ndio inasink saa hii
hook
you and me
me and you
you and me. me and you
verse 2
nikiwa 14 adolescence shenanigans solitude,thoughts za s-x kwa mama maryanne
age 16 research ya condom ya mafemiplan, uasin gishu na ndoto za kuenda america
ni melanin na fikra zangu tu ndio ninazo
si mchezo hii ni mateso nimechoka kufuata nyayo
nihame niende ulaya, nipeperushe mabawa
niache kuandika ngoma, na nianze kuuza madawa
na matha sa si atalia, na msupa w-ngu atalia,na mtoto w-ngu ajiulize ni nani atakimbilia
heri nijitume niwape kenye mntaka, ni kama huelwi makes me happy nikisaka
letras aleatórias
- letra de tonight - vin veli & lore
- letra de you're living in a plastic world - luciano illuminati
- letra de if this is love - the foreign exchange
- letra de sweet lady (challenge) - lil dorty
- letra de heat stroke - kendrick lamar
- letra de le sens de l'occidentation - al (matière première)
- letra de moonshot - dean & britta
- letra de саёнора (sayonara) - иван смех (ivan smekh)
- letra de nur für sich - prodycem
- letra de hip hop knowledge - krs-one