letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de litawachoma - zuchu feat. diamond platnumz

Loading...

habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
mimi na wewe hadi milele
komesha wachokozi wabaki kututazama

tuwatoe jasho la nywele

haa nimesikia habari
eti kuna mtu twamkera
oooh mwana akae tayari
maana bado movie hili litaenda

na usiku nik-mbate ((ni tete te)
ooh my babe boo (ni tete te)
kwa ghetto ning’ate ng’ate (ni tete te)
you know i love you

nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
silaha rungu (ni tete te)
kwenye joto nipepee (ni tete te)
mwendani w-ngu

penzi letu kwao fire
na litawachoma sana
mmmh! litawauma
na litawachoma sana

eh kwa roho mbaya zenu
na litawachoma sana
oooh na hatuwachani
na litawachoma sana

mmhhm ada! kinachotakasa nafsi
huba si sabuni
kw-ngu usiwe na wasi
nishaacha uhuni

ada! kama moyo jiko basi
we ndo w-ngu kuni
mapenzi soccer
nipe pasi nitie nyavuni

china wasikutishe
kwa jumbe zao za kata (kata)
mi ndio kamati kuu
hapa jimbo umepata (pata)

mahaba ni tashtiti
na baby unayajua
siwezi fanya ya shishi
uchebe kukubutua

waambie na ibilisi
watu wanajisumbua
ufupa kashindwa fisi
wao paka utawaua

dodo dodo
nimeokota dodo na mjani wake
nimeokota dodo
litayemkera ni shauri zake

simba nimelipata dodo
nimeokota dodo na mjani wake
oh mi mwenzenu toro
litayemkera ni shauri zake

na litawachoma
na litawachoma sana
mmmh! litawauma
na litawachoma sana

eh kwa roho mbaya zenu
na litawachoma sana
oooh na hatuwachani
na litawachoma sana

asa baby nichezeshe ngondo
ngondo, ngondo ingw-ngo!
ah tulicheze ngondo
ngondo, ngondo ingw-ngo!

eh timbwili timbwili tutimbwilike
ngondo, ngondo ingw-ngo!
oooh mpaka kupambazuke
ngondo, ngondo ingw-ngo!

ai ngondo!

(ayolizer)

wasafi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...