letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de uongo na umbea - omg tanzania

Loading...

[intro: young lunya]
hii ni kwa wale wana wooote waongo waongo na wambea
let’s get ’em

[verse 1: salmin swaggz]
tangu naanza kua nilijijua so nikaanza jiepusha na umbea
nna jopo la washkaji waliozingua kisa tu walinijua
so nikaona maisha sio fair
huku nakimbizana na mr. on air
huku napambana walishaniotea
sawa ingawa nachana vya maana tofauti sana na jana
kipindi nafanya “pana” walicompare? haah nah
unawaambia washkaji sio msafi niko solo
na gari sina mwendokasi niko doro
ndo maana hata babes wakali hawanifollow
au nna kasoro? gotta know, it’s like
mi nataka ukahadithie pia story hizi naandika mavitu yanatoka kichwani sio ya wizi
afu sina muda maana kila siku niko busy siwezi hata kulala nyumbani mama ananiona chizi
mshua ndo ananiona popo, giza
main chick mara, “ooh utaniliza”
napiga chops kama local pizza, wananiuliza… sh-t

[chorus: barakah the prince]
hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea
ya uongo na umbea x 2
uongo na umbea, umbea
uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4

[verse 2: con boi]
nikich0m-ka maskani najiona niko vitani
na unaweza kuona ni utani maana hata vita ni fani
tangu tunaenda kwa banny zile cd tuna-burn
halafu tunarudi nyumbani hakuna cd player
leo nimetoka n-gga anataka play fair
how fair? shopping zangu ni mayfair
nikishtuka chai zangu ni protea
niko na machizi so please i don’t care, sh-t
na mbona hatukuoni au you broke nowadays
lame n-ggas whatchu know about games
trynna overtaking emceez
k!ller verse now your rap is crazy
wao wanaona i’m faking
mimi ninajiona i’m straightin’
wakiongea sh-t about us, siwasikii
’cause najua deep inside i’m repping

[chorus: barakah the prince]
hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea
ya uongo na umbea x 2
uongo na umbea, umbea
uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4

[verse 3: young lunya]
mic check one four yani bounce,ni bounce (yeah utawaskia)
nna mtoto mkali kala chepe, blouse chini vans (yeah utawaskia)
kitambo niko street sitoki kama swaggz bwana salmin (yeah utawaskia)
na naball you know mi ni chaf n-gga ubavu kuna brown chick
na kama ipo seat kwa wanaoweza kuchana
nitawaficha sana (woooh!)
na kama ikiwekwa beat na ukashindwa kuchana
utazomewa sana (woooh!)
na kama unaishi street na ukashindwa kuwa straight na mareal n-ggas
ambao tunakeep it real na kuanza kuchekacheka kutwa unashinda kuungama kama g-y n-gga
mji ka l.a you get shot n-gga, (tutututu!)
maana, kuimba kama mimi pia huwezi
ukiambiwa uimbe nyimbo zangu mimi pia huwezi
ukiambiwa fanya kazi unachagua kazi ngumu pia huwezi
unachonishangaza mpaka kuomba mungu napo pia huwezi
yo n-gga, you ain’t serious man

[chorus: barakah the prince]
hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea
ya uongo na umbea x 2
uongo na umbea, umbea
uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4

[outro: con boi & barakah the prince]
haha, we just say goodbye to the bottom
and h-llo to the top, that’s a low life lifted man
omg that’s the major key
put your hands in the air if you hate when the haters trynna hate yo
f-ck what the haters say!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...