letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de utanisho (original version) - octopizzo

Loading...

naskia bado kuna marapper wamestick kwa cypher
zangu nikutoa soundtrack za sci-fi
waresh wenyu nimewageuza free wi-fi in short nalog in bila kutumia pssword
mi ni ule boy anakutukana bila kutumia curse word
pesa otas ngg, naenda nazo choo ka nimekazwa
still sick nipate booth, ka nimelazwa
ati ulidanganya unajulikana majuu, hao walikuwa wasee wa naswa
bila beat ngg, kujeni na pinye bado nitawabeat ngg
hii ni hit ngg
mr. lighter flames, i’m lit ngg
stop feeling some typa way, hommie kwani hujui mi ni rich ngg
na mresh wako ameshinda akiniflash, you wanna know why, coz i’m the sht ngg

utanishow what? utanisho?
utanishow what? utanisho?
utanishow what? utanisho?
utanishow what? utanisho?

i’m going in ni ka kuna curfew, apart from me mi huskiza marapper ka few
hii si sportpesa huwezi bet
na ambia siz yako hata akikunya calendar siwezi m-date
na-stand out buda ka watchman, in short vitu niko nazo huwezi get
hold up! najua hiyo line hujai-get
sijawahi chelewa sijawahi come late
nimetoka vacay ndio nime jet in
hakuna vacancy siwezi ku-let in
niko kwa pharmacy, zangu ma-peddling
so sad hata akina pendo sikuhizi hawakupendi
so zidi kukula moto ka acrobat
unapunguza weight kwani uliacha kutumia [?]
bonga na mi, chonga na king
songa na mi, kamisha bling, pizzo kwa ring

utanishow what?
utanisho?
utanishow what?
utanishow nini bana?
utanishow what?
utanishow what?

utanishow nini bana x3
na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: no octopizzo no peace
ni hii sheng ndio ilinibuy-ia shamba, ni hii sheng
ni hii sheng ndio ilinibuy-ia nyumba ni hii sheng
ni hii sheng nilipata wngoso na hii sheng
ni hii sheng nilipandaga ndege na hii sheng
ni hii sheng nilihamaga ghetto na hii sheng
ni hii sheng nilibuy-ingi gari na hii sheng

(utanishow nini bana) x3
na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: no octopizzo, no peace
(utanishow nini bana) x3
na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za: no octopizzo, no peace
(nilikushow we ni fala) x3
juu kila ngoma unatoa maze siku hizi inakuwnga tu ni diss
(nilikushow mi ni hustler) x3
ilianza na ka-cd siku hizi si hu-spin mercedes

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...