letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de teso - tattuu

Loading...

mateso ya roho
umenivunja moyo
umenitesa kanifanya nalia

w-ngapi kapitia
mimi rhoda sofia
wanichezea na sasa naishia
na wahenga walitueleza usipoziba ufa
utajenga kuta
basi ukuta hio ishabomoka
umenifanya nitapike umenitendea upeke
siwezi tena wanifanya nalia
woii wooi parapanda inalia
wooi wooi kesho naishia.
masaa yamekwisha
masaa
nalia woi woi nawika
sijui kwa nini najipata nalia

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...