letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mchezo tu - ngamia wa jangwani

Loading...

wimbo:mchezo tu
alb-m:deni
mtayarishaji:man dvd
alb-m kutoka:30/04/2018

intro:ngamia wa jangwani(hostzee,watawala na ukoo)

.from the underground-2

verse:(jedikouga mtawala)
.√mapinduzi sio rahisi
inaitaji ufanisi/

hoja za darwish
weka pumzi kila andishi/

maono yenye ufanisi
kinachoandikwa kinaishi/

hamjasoma kiini
hamjachunguza ulakini/

tazama fikiri dadisi
wanafiki hawaesabiki/

huu mchezo wa mamluki
umezingirwa na siasa
na siasa zinawaanasa/

wamezikacha kurasa
hakuna tena darasa/

maarifa hawayasomi
hii hali niseme nini/

kweli imegusa ndimi
ibada ya kweli umakini/

wamewatia kikaangoni
wamewatupa shimoni/

wapumbavu wanawarubuni
kwa utupu mdomoni/

vitisho masikioni
usifikiri sioni/

naitazama dosari
natimiliza nadhiri/

niko kwenye kasir
nasoma tasbii takbir/

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...