letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de story - ibraah

Loading...

[intro]
it’s chinga

[verse 1]
nianze kwakusema
nilikubembeleza
ukaniona rofa
ukaniona zoba
sitorudia kusema tena
nakuelezaa
kama itakaupendezaa
kacheze unako chezaga

[pre chorus]
maana misio waku chezewa
mi sio waku share
mwenzako nina moyo mwepesi
nimeona bora nikupe sp-ce
mapenzi hayanoyi ku share
mi sio waku chezewa
mwenzako nina moyo mwepesi
nimeona bora nikupe sp-ce
na sikufichi ilikua tu mapenzi nimeacha
moyo umeutia pancha
j-po nilikuita pacha
ila kukupenda nimeacha
mi nimekuacha uendee
[chorus]
bas nenda wenda utapata ataekupenda
nenda nenda acha iwe story
nenda acha ibaki kuwa story
nenda wenda utapata ataekupenda
nenda nenda acha iwe story
nenda acha ibaki kuwa story

[verse 2]
hautosikia kelele zangu
nakuahidi hautosikia hata simu zangu
hata message zangu hautoziona
sitojutia naapa kwa mungu w-ngu
huenda ameniepusha we ndo gundu langu
na hata moyo w-ngu utapumzika kusonoona

[pre chorus]
maana misio waku chezewa
mi sio waku share
mwenzako nina moyo mwepesi
nimeona bora nikupe sp-ce
mapenzi hayanogi ku share
mi sio waku chezewa
mwenzako nina moyo mwepesi
nimeona bora nikupe sp-ce
na sikufichi ilikua tu mapenzi nimeacha
moyo umeutia pancha
j-po nilikuita pacha
ila kukupenda nimeacha
mi nimekuacha uendee
[chorus]
basi nenda wenda utapata ataekupenda
nenda nenda acha iwe story
nenda acha ibaki kuwa story
nenda wenda utapata ataekupenda
nenda nenda acha iwe story
nenda acha ibaki kuwa story
ca

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...